About Me

MSICHANA WA MIAKA 21 ACHOMA NYUMBA NA KUHATARISHA MAISHA YA WATU 7 KWA WIVU WA MAPENZI

Jeshi la Polisi Mkoani Singida linamshikilia msichana mmoja amabye anaumri wa miaka ishirini na moja(21) kwa kosa la kuchoma moto nyumba waliyokuwemo watu 7 na kuhatarisha maisha yao. 

Yadaiwa sababu kubwa iliyomsukuma binti huyo mpaka akajikuta anaitia kiberiti nyumba hiyo ni wivu wa mapenzi.

No comments:

Powered by Blogger.