Breaking News: IGP SIMON SIRRO KAONGEA NA WAANDISHI WA HABARI KWA MARA YA KWANZA NA KUTANGAZA DAU LA MILIONI 10

“Niwaambie ukweli kuwa katika hili, maneno yatakuwa machache lakini vitendo vitakuwa vingi zaidi,” amesema katika mkutano huo.
Pia IGP Sirro amewatangazia kiama madereva wa bodaboda na kuwataka kuacha kuvunja sheria za barabarani kwa makusudi.
“Huu ni wakati wa kutii utawala wa sheria bila shuruti na nimeshaongea na makamanda wa polisi nchi nzima,” amesema
==>Msikilize hapo chini akiongea
No comments: